House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KIBACHELA INAPANGISHWA BEI NI 140,000/= X 6
LOCATION KIMARA KOROGWE MWENDO KASI KM 1.5 USAFIRI BAJAJI DALADALA 500 UKISHUKA UNAPIGA TEKE MLANGO
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
___________
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#LUKU WANASHEA FAMILIA 2
#PARKING SPACE IPO PERVING BLOCK ๐ซ
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347