House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= ร 6 ๐๐๐ ๐๐ฅ๐ ๐ฆ๐ง๐ข๐ฃ ๐ข๐ฉ๐๐ฅ
๐ฅ ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 09/06/2025 KUONA NDANI RUKSA KABISA NDUGU MTEJA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
๐ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
๐ฅINAYOPANGISHWA NI YA CHINI NDUGU MTEJA
BEI NI 300,000/= ร 6
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO KIMARA STOP OVER
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 8 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300