House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







350,000 x6.
APARTMENT NZURI MPYA YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 350,000/=X 6
🌟🌟APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
KUBWA
KUBWA LENYE MAKABATI
TOILET
NZURI YA JUU
NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
KUBWA
BEI NI 350,000/= X 6
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI SH 700 AU BODABODA SH ELFU 1 NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0713661530_0783661530