House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







100,000/= π₯ 100,000/= π₯ 100,000/= BEI MSEREREKO
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 100,000/= X 6
π APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
πHAKUNA JIKO
BEI NI 100,000/= X 6
π«π« APARTMENT HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 3 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
PIGA SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI