House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENTS MPYA ZINAPANGISHWA MBEZI LUGURUNI #120k
Chumba cha kulala sebule choo na jiko
Kodi 120,000 kwa mwezi × 3
Umbali KM 3 usafiri bajaji 700 bodaboda 1500
Nyumba ni mpya kabisa
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
O679447338
O753454167