House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA ZINAPANGISHWA ZIPO SITA KWENYE FANCE MOJA
MAHAL MBEZI MWISHO
BEI SH 250,000/=KODIMIEZI 6
▫CHUMBA MASTER
▫SEBULE
▫ JIKO
PUBLIC TOILET YA NJE IPO
◇ Maji Dawasco umeme unajitegemea vyote vipo
◇NOTE - Umbali KM 1.8 tu kutoka Morogoro road PIKIPIKI SH 1000
PIGA SIMU
☎️ #0757208653