House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







#0742260844
APARTMENT FOR RENT LOCATION MBEZI LUGURUNI UMBALI WA KM 2 BODA SHILINGI 1000๐น๐ฟ๐
SIFA ZA NYUMBA
=================
VYUMBA V2 VYA KULALA SEBULE KUBWA JIKO ZURI INA VYOO VYA PUBLIC TOILET NDANI TAILS GYPSUM BOARD ALUMINUM WINDOW LUKU INAJITEGEMEA MITA YA MAJI INAJITEGEMEA IPO NDANI YA FENSI KATIKA COMPAUND MOJA ZIPO MBILI TU NA HIYO MOJA NDIO IMEBAKIA TU
KODI NI 200,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 4, 5, 6
NA MALIPO YA MWEZI MMOJA YA DALALI PINDI ULIPIAPO PANGO YA NYUMBA
SEVIRCE CHAGE NI TSHS ELF 15 ๐น๐ฟ๐
CONTACT