House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







#0677445508
.
KODI NI 150,000 TU KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA 
NI APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA 
IPO MBEZI MWISHO NYUMA TU KIDGO YA STEND YA MAGUFUL BUS TEMINAL 
UMBALI WA KM 1.2 TU KUTOKA MOROGORO ROAD USAFIRI BODA TU ELFU MOJA MPKA GETINI 
SIFA ZAKE 
=========
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SEBULE  KUBWA NA PUBLIC TOILET NZURI YA NJE 
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI IPO NDAN YA FENS PARKING SPACE KUBWA LUKU YAKE NA MAJI YAKE DAWASA YANAFLOW CHOON 
SERVICHAJ ELFU 10
CONTACT



















