House/Apartment for Rent at Tabata, Dar Es Salaam


NYUMBA YA KISASA INAPANGISHWA
TABATA KINYEREZI KIBAGA.
APARTMENTS NI NZURI.
BEI SH 200,000ร3
MALIPO YA DALALI NI MWEZI 1.
SERVICE CHARGE SH 20,000/.
LOCATION: TABATA KINYEREZI KIBAGA.
MIEZI 3 ANAPOKEA.
CHUMBA MASTER SEBLE NA JIKO.
SEBLE KUBWA SAFI
JIKO NDANI LA MAKABATI.
PUBLIC TOILET
UMEME NA MAJI
UNAJITEGEMEA
MAFENI JUU
DAWASCO WATER 24/7
MAJI YANAFLOO NDANI
RESERVE TANK
PARKING KUBWA
PAVING BLOCKS
USALAMA๐ฏ
NYUMBA NI NZURI.
MAZINGIRA TULIVU.
MAWASILIANO:
0654:154140/Whatsapp/call
0624:808238/call