House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment house for Rent za Kisasa nzuri Mpyaa
Location Ubungo Riverside Dakika 12 Kutembea mpaka Kituoni
Kodi 350000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Hapa Kuna Nyumba za Aina 2 Tofauti A na B
A) Chumba na Sebule Kubwa na Jiko
B) Ni Master Bedroom Jiko
Sifa zake
=========
Chumba na Sebule Kubwa
Choo ndani
Jiko
Luku yake
Maji Dawasa ndani
Parking space fancy
Slide window
Tiles
Gypsum
Good environment
A) Kodi 350000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1
B) Kodi 200000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa zake
=========
Chumba Master Bedroom Kubwa
Jiko
Luku yake
Maji Dawasa ndani
Parking space fancy
Slide window
Tiles
Gypsum
Good environment
Piga sim Kwa Maelezo zaidi
0712500602
0755336565