House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA ZIPO 3 NDANI YA FENSI MOJA NDIO IPO WAZI KODI 400,000X6
LOCATION UBUNGO MAKOKA KM2 USAFIRI BAJAJI 700 KUTOKA UBUNGO RIVER SAID AU KIMARA KOROGWE MWENDO KASI
SIFA ZAKE
___________
#VYIUMBA 2 VYA KULALA VYOTE MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA MAKABATI
#PABLICK TOILET
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA MAZINGIRA MAZURI GADENI
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMLIPA DALALI KODI YA MWEZI
CONTACT US:-
0716223412
0618976024