1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA
IKO DAR ES SALAAM
MAHALI KIBAMBA KWA MANGI
UMBALI DK 8 KUTOKA LAMI
ZIPO NNE KWENYE FANCE MOJA
ZINA SIFA ZIFUATAZO
CHUMBA KIMOJA MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWA SANA
JIKO KUBWA
CHOO&BAFU VYA NDAN
Gypsum #Tiles #Slides #Windows \n#Umeme upo wa #Luku yake#Maji yapo YA bomba #24hrs\nCars #Parking Space ipo
KODI 200000X3
☎️ #0757208653