1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







🇹🇿 APARTMENT #INAPANGISHWA
#kimara korogwe
Dakika 8_10 Kutembea kutoka kituo cha Mwendokasi kwa mguu
SIFAZAKE
#Chumba, Kimoja master Kizuri
#Umeme luku wanashare 3
#Maji yanaflow ndani
#NDANI ya fensi Ailazi gari
Mazingira Tulivu Sana no uswahili hapa
#Kodi Tsh 120,000/=x6 (Miezi Sita)
#Malipo ya Dalali Tsh 120,000/=
#Service Charge Tsh 15,000/=
#Piga_📞simu
#.& Whatsap
#please #Follow us 🙏
Karibu Sana Mteja😊
0715949085