1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam






🇹🇿 #APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍 Kimara Korogwe
🕑 Umbali kutoka stand ya mwendo kasi dk 10–12, usafiri boda 1,000/= mpaka getini kwako
#SIFAZAKE
🔹 Chumba Kimoja kikubwa
🔹 Sebule kubwa
🔹 Jiko
🔹 Choo Safi cha Ndani
🔹 Umeme (LUKU submeter yake), Maji yanaflow ndani
🔹 Fenced Car Parking Kubwa
#GHARAMA
🔶 Kodi: Tsh 250,000/= × 6 (Miezi Sita)
🔶 Malipo ya Dalali: Tsh 250,000/=
🔶 Service Charge: Tsh 15,000/=
📌 Inafaulishwa: Miezi 6 Kamili
---
O627977383
📞
#Piga_simu:
#Follow_us 🙏
Karibu Sana Mteja 😊