1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NEW Apartment Classic For Rent ✨️
PRICE: 200,000 × 6
MAONGEZI KUHUSU MIEZI YAPO
Location: KIMARA SUKA
Upande Wa Kushoto Kama Unaenda Mbezi
Distance: KM 2 Kutoka Morogoro Road
Usafiri 24Hours Boda 1000
✔️Sebule Kubwa
✔️Chumba Kimoja Kikubwa Master
✔️Jiko Kubwa Zuri
✔️Umeme LUKU Yako
✔️Maji Meter Yako
✔️Yanaflow Jikoni Na Chooni 24HRS
✔️Reserve TANK
✔️Parking Space Available
✔️Good Environment 💥
Service Charge 20,000
1 Month Agent Commission
Contact Us
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp