1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







Apartment Classic For Rent ✨️
Zipo 4 Kwenye Fence
Location: KIMARA MWISHO
Distance: KM 2 Kutoka Morogoro Road
Usafiri 24Hours Bajaji 1000, Daladala 500
PRICE: 200,000 × 6
✍️Sebule Kubwa
✍️Chumba Kimoja Kikubwa Master
✍️Jiko Kubwa Zuri
✍️Umeme Na Maji Independent
✍️Yanaflow Jikoni Na Chooni 24HRS
✍️Reserve TANK
✍️Parking Space Kubwa 🚘
✍️Good Environment 💥
Pia Ipo Sebule na Chumba Master 180,000 × 6
Service Charge 20,000
1 Month Agent Commission
Contact Us
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp