1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







✨️Apartment Classic For Rent #Mpyaa
Location: KIMARA KOROGWE KILUNGULE
Nyumba Ipo Barabara Ya Zege Ya Kwenda Maji Chumvi - External. Usafiri Bajaji 500 Pia Unaweza Ukapitia External Barabara Ni Lami Mpaka Jirani Na Geti
Pia Zipo Daladala za Kariakoo Mnazi Mmoja Zipo
✍️Sebule Kubwa
✍️Chumba Kimoja Kikubwa Master
✍️Kitchen With Cabinets
✍️Public Toilet Inside 🚻
✍️Heater Ya Maji Moto
✍️Full A/c
✍️Electrical Fence
✍️Balcons
✍️CCTV Cameras 📷
✍️Security Getini 24HRS
✍️Fenced &Parking Available 🚘
✍️Umeme LUKU Inajitegemea
✍️Maji FREE 24Hours
✍️Yanaflow Jikoni Na Vyooni 24HRS
✍️Reserve TANKS
✍️Good Environment 💥
HAKUNA MALIPO MAJI, ULINZI Na USAFI
[ FREE ]
PRICE: 500,000 × 3
Service Charge 20,000
1 Month Agent Commission
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp