1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







🇹🇿 #APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Kimara mwisho
🕑Umbali kutoka stand ya mwendo kasi Km 2.5 ussfili bajaji 700 daladala 500 boda boda 1000 Tu mpaka getini kwako
🏡#SIFAZAKE
🔹Chumba Kimoja Master
🔹Umeme Sub-Meter yake
🔹Maji yanflow ndani
🔹fanced &packing kubwa
🔶Kodi Tsh 100,000/=×3 kuazia (Miezi 3 )
🔶Malipo ya Dalali Tsh 100,000/=
🔶Service Charge Tsh 15,000/=
🔶Hela ya Tahadhari Tsh 5,000/=
__________
#Piga_simu
O740747383
,
Karibu sana ndg Mteja.



















