1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mabibo, Dar Es Salaam


Apartment Classic For Rent ✨️
Location: MABIBO LUHANGA
Umbali wa Kutembea Kwa Mguu Dakika 5 Kutoka Kwenye Barabara ya Lami
PRICE: 300,000 × 6
✍️SEBULE KUBWA SANA
✍️CHUMBA KIMOJA CHA KULALA KIKUBWA
✍️JIKO KUBWA ZURI
✍️CHOO KIZURI NDANI
Apartment Zipo Kwenye Fensi Parking Haipo na Kila Apartment IInajitegemea Umeme LUKU na Maji Dawasa Yanaflow Ndani
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
Contact Us
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp


















