1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Tabata, Dar Es Salaam







Apartment Classic For Rent ✨️
Zipo 3 Kwenye Fence
Location: TABATA RELINI MWANANCHI
Distance: Dakika 15 Kutoka Mandela Road
Usafiri 24Hours Boda 1000
PRICE: 250,000 × 6
✍️Sebule Kubwa
✍️Chumba Kimoja Kikubwa Master
✍️Jiko Kubwa Zuri
✍️Public Toilet Nzuri 🚻
✍️Full A/c
✍️Inajitegemea UMEME Na MAJI
✍️Yanaflow Jikoni Na Chooni 24HRS
✍️Reserve TANK
✍️Fenced
✍️No Parking Space 🚘
✍️Good Environment 👍
Service Charge 20,000
1 Month Agent Commission
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp
PIGA SIMU ☎️ SMS UTACHELEWA KUJIBIWA BOSS