1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam


# APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA 
# NI CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER BEDROOM INA MAKABATI NA SEBURE KUBWA SANA NA JIKO ZURI LA KISASA.
#  INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKWAKO NA MAJI INAJITEGEMEA .
#  IPO NDANI YA FENSI. PARKING SPACE IPO.  BEI NI LAKI 3 NA ELFU 50 MAONGEZI YAPO .  NYUMBA IPO UBUNGO KIBO DK 8 KWAMGUU KUTOKA STEND YA MWENDOKASI. 
Service charge elfu 15. Ukilipia nyumba ni kodi ya mwezi mmoja malipo ya dalali 
# Simu 0757 404087




















