3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(700,000X6)KIMARA TEMBONI 1KM BODA ELF MOJA..NIJA SAFIII
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 700,000/= X 6
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3VITATU VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
#MAKABATI YA NGUO VYUMBA VYOTE
#AIR-CONDITION
#NYUMBA IMEZUNGUSHIWA FENSI YA WAYA ZA UMEME (FULL SECURITY)
#GARDEN
đź’ĄINAYOPANGISHWA NI YA JUU GOROFANI
đź’«đź’« APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BODABODA AU BAJAJI NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–
CONTACT US:-
0716223412
0683597453