3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







Hii ni vyumba vitatu vya kulala (400,000 × 6) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗞𝗢𝗥𝗢𝗚𝗪𝗘
#HII NYUMBA ILIKUA IMESHALIPIWA ILA KUNA MAMBO YAMETOKEA IMERUDI SOKONI
KODI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
.
NI APARTMENT NZURI INAPANGISHWA
.
IPO KIMARA KOROGWE KM 1.3 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKASI
USAFIRI UPO WA UHAKIKA BAJAJI 500
SIFA ZA NYUMBA
==============
>NYUMBA INA VYUMBA VITATU VIKUBWA VYA KULALA
>CHUMBA KIMOJA MASTER KIKUBWA SANAA
>SEBULE KUBWA
>DINING KUBWA
>JIKO ZURI KUBWA
>NA PUBLIC TOILET NZUR KWA
>KILA CHUMBA KINA MAKABATI YA NGUO
NYUMBA INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
IPO NDANI YA FENCE PARKING SPACE KUBWA
𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲 𝗰𝗵𝗮𝗿𝗴𝗲 𝗻𝗶 𝘀𝗵𝗶𝗹𝗶𝗻𝗴𝗶 15,000
𝗠𝗮𝗹𝗶𝗽𝗼 𝘆𝗮 𝗱𝗮𝗹𝗮𝗹𝗶 𝗻𝗶 𝗺𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗺𝗺𝗼𝗷𝗮
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU NDUGU MTEJA WANGU
0654101710
0787205300