3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT 🔥🔥YA KISASA INAPANGISHWA IMEBAKIA MOJA TUU YA KATI ITAKUA WAZI MWISHO WA MWEZI
BEI NI 500,000 × 6 # ILIPWE LAKI TANO KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6
💥 APARTMENT HIZI ZINA SIFA ZIFUATAZO
VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
SEBULE KUBWA SANA
JIKO ZURI KUBWA LENYE MAKABATI YA KISASA
HEATER ZA MAJI MOTO ZIPO JIKONI NA VYOO VYOTE
NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
PARKING KUBWA YA KUTOSHA
#FULL_A/C
BEI NI 500K X 6
ILIPWE LAKI 5 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6
NOTE: MALIPO HAYO YANAAMBATANA NA PESA YA TAHADHALI ( CAUTION MONEY) SHILINGI LAKI 4 NA NUSU
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 15 TUU KWA MIGUU USAFIRI NI BAJAJI SH 500 NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300
Napatikana muda wote karibuni sana wateja



















