3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







0679 997610
APARTMENT KALI SANA INAPANGISHWA IPO SUKA KULIA KAMA UNAELEKEA MBEZI DK 7 KUTEMBEA BODA BUKU
NYUMBA INAVYUMBA VITATU VYAKULALA KIMOJA MASTAR INASEBULE INAJIKO NA PABLICK TOILET
INATAILIZY GYUPUSAM ALUMINIUM
NYUMBA INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI FULL PEVING BLOCK
HII NYUMBA ITAKUAWAZI 15 09 2025
KUONA NDANI KAMA TUTAMKUTA MPANGAJI ANAEHAMA
KODI 450,000 × 6
KUONA NYUMBA 15,000
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
Contact:
0679 997610
0747997630
Msigwa