3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Pugu, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA (NI APARTMENT)
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA (MASTER KIMOJA), SEBULE. DINING NA JIKO LENYE KABATI NA STOO.
MAJI (TENKI) NA UMEME INAJITEGEMEA YENYEWE.. NNJE KOTE INAPIGWA PAVING MAFUNDI WAPO KAZINI.
KODI: 350000 KWA MWEZI, MALIPO MIEZI 6
LOCATION: PUGU KONA MATAA
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.