3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Tabata, Dar Es Salaam







APARTMENTS 3 ZINAUZWA ZOTE KWA PAMOJA TABATA SEGEREA CHAMA DAR ES SALAAM-TANZANIA 🇹🇿
BEI: 155 MILION TU.(MAONGEZI YAPO NDUGU MTEJA 🤝)
SERVICES CHARGE: 30,000
🌎LOCATION: TABATA SEGEREA CHAMA DAR ES SALAAM-TANZANIA 🇹🇿
📌 HATI MILIKI YA WIZARA YA ARDHI
👉UKUBWA WA KIWANJA NI SQM 700
SIFA ZAKE:
📌APARTMENTS YA KWANZA.🏠
KODI LAKI 450 KWA MWEZI 1 KWA MIEZI 6 (2,700,000)
📍VYUMBA 3 VYA KULALA
📍1 MASTER BEDROOM
📍SEBULE
📍FULLY A/C
📍MAFENI JUU
📍DINNING ROOM
📍JIKO LA MAKABATI
📍STOO
📍PUBLIC TOILET
📍MAJI DAWASCO
📍FENCED
📍PEVING BLOCK
📌APARTMENTS YA PILI.🏠
KODI LAKI 350 KWA MWEZI 1 KWA MIEZI 6 (2,100,000)
📍VYUMBA 3 VYA KULALA
📍1 MASTER BEDROOM
📍SEBULE
📍MAFENI JUU
📍DINNING ROOM
📍JIKO LA MAKABATI
📍STOO
📍PUBLIC TOILET
📍FENCED
📍PEVING BLOCK
📌APARTMENTS YA TATU.🏠
KODI LAKI 250 KWA MWEZI 1 KWA MIEZI 6 (1.500,000)
📍CHUMBA MASTER NA SEBULE
📍JIKO
📍MAFENI
📍PUBLIC TOILET
📍FENCED
📍PEVING BLOCK
NDUGU MTEJA APARTMENTS HIZI ZIPO KATIKA MAZINGIRA TULIVU USALAMA WA UWAKIKA KUMEJENGEKA SANA PIA PANAFIKIKA KWA ULAHISI MNO NAKUKALIBIA WEWE MWEKEZAJI UJE UJIPATIE APARTMENTS HIZI ZILIZOPO TABATA SEGEREA CHAMA KARIBU SANA.
KWA MAWASILIANO ZAIDI
☎️0625 637254 ☎️ 0788 077337