3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment house for Rent za Kisasa nzuri
Location Ubungo Riverside Kibangu Dakika 15 mpaka 20 Upo Kituoni Barabarani Mandela Road Usafiri ni Bajaji 500 na Boda 1000 mpaka home
Kodi 400000ร6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa zake
==========
Room 3 Moja ni Master Bedroom
Sitting room Kubwa
Dining room
Kitchen
Public toilet ndani
Luku yake
Maji Dawasa ndani
Parking space fancy
Slide window
Tiles
Gypsum
Good environment
0712500602
0755336565