2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Bunju, Dar Es Salaam


Apartment Inapangishwa:
(Zipo Mbili Tu kwenye fensi)
Location :: BUNJU BEACH MOGA sekunde moja lami
Bei yake :: 600,000Tsh kwa mwezi (Miezi 6) Maongezi yapo kuhusu bei
Muundo wa nyumba;
๐ก๏ธVyumba viwili (vyote ni Masta)
๐ก๏ธSebule kubwa
๐ก๏ธJiko lenye makabati
๐ก๏ธChoo cha wageni
๐ก๏ธFans
๐ก๏ธPaving Blocks
๐ก๏ธFence
๐ก๏ธElectric Fence
Call/piga simu O745010009 au 0742707023