2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NEW Apartment Classic For Rent ✨️
Locstion: KIMARA BARUTI
Distance: Dakika 5-6 Kwa Kutembea Tu 🚶🚶
PRICE: 400,000 × 6
✍️Sebule Kubwa Sana
✍️Vyumba VIWILI Vikubwa
✍️Chumba Kimoja Master
✍️Jiko Kubwa Zuri
✍️Public Toilet Nzuri 🚻
✍️Inajitegemea UMEME Na MAJI
✍️Yanaflow Jikoni Na Vyooni 24HRS
✍️Reserve TANK
✍️Ipo Kwenye Fence
✍️Parking Space Available 🚘
✍️Good Environment 👍
Itakuwa Tayari Kuingia 31/08/2025
Kuona Nyumba Na Kulipia RUKSA BOSS 💰 ✍️
Service Charge 20,000
1 Month Agent Commission
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp