2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


๐ฐ Inapangishwa KIMARA TEMBONI
๐ Kodi 350,000/= ร6
===
_______
โข Vyumba 2 vya kulala (kimojawapo master bedroom)
โข Sebule Kubwa
โข Jiko
โข Public toilet
#Umbali KM 1.3 Usafiri bajaji 500 Boda boda 1000
===
* Apartments zipo 2 kila apartment inajitegemea umeme na maji
* Maji Yanatoka Ndani
* Ndani ya Fensi
* Parking
====
#Malipo ya Dalali Nasoni ni Tsh 350,000/=
#Kupelekwa Kuona ni 15,000/=
โ:- 0753172516