2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
KODI 200,000 ร,6
ITAKUA WAZI KUANZIA 25/04/2025
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA VIWILI VIKUBWA VYA KULALA
#JIKO KUBWA ZURI
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI ( PUBLIC TOILET)
#LUKU Na METER YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 200,000/= X 6
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 8 TUU KWA MIGUU
SERVICE CHARGE 15,000
1 MONTH AGENT COMMISSION
CONTACT US
0688 067 289 ๐
0714 418 005 WhatsApp