2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


Apartment Ya Kisasa Inapangishwa
Mahali: Kimara Mwisho
Bei: 500,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 6
Karibu Sana Na Lami
☑️Vyumba 2, Kimoja Ni Master
☑️Sebule Jiko & Choo
☑️Fensi & Parking Ya Kutosha
☑️Umeme Na Maji Mita Yako
☑️Reserve Tank
☑️Dawasa Maji 24/7
Gharama Ya Kuoneshwa Ni 30,000/= (Inalipwa Maramoja Na Itadumu Mpaka Upate)
O677370515
Bila Kusahau Malipo Ya Mwezi Mmoja Wa