2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







🇹🇿#APARTMENT INAPANGISHWA
📍Kimara suka
🕝Umbali wa 1.km Moja Kutoka Mwendokasi, Bajaji 700 boda 1000 tu.
#SIFAZAKE
🔹Vyumba viwili, vyote Master
🔹Sebule
🔹Jiko
🔹Umeme LUKU yake & Maji yanatoka ndani
🔹Fenced Car Parking Kubwa
👉hii Hapa INAPANGISHWA
🔸Kodi Tsh 350,000/=×6(Miezi Sita)
🔸Malipo ya Dalali Tsh 350,000/=
🔸Service Charge Tsh 15, 000/=
#Piga_simu👇
#0627977383.&Whatsapp📞
#please #Follow us🙏
Karibu Sana Mteja 😊