2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Madale, Dar Es Salaam







APARTMENTS MPYAAA KALI SANA ZINAPANGISHWA....
Njoo uzindue
Zina room 2 moja self, Sebule kubwa jiko stoo public toilet na maji dawasco 
Full makabati jiko na vyumbani 
Full A/C na Electronic fens 
Kodi- laki 8 kwa mwez kuanzia miez 6 na Deposit mwez 1
Location- madale mwisho 
Umbali-mita 200 kutoka main road madale mwisho 
Site visit fee 30k 
Karibuni
Tuwasiliane kwa number: 0672 673363




















