2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







KODI NI 200,000 MBEZI MPIJI
USAFILI DALA DALA 600
APARTMENT INAPANGISHWA MBEZI NJIAYA MPIJI
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedrooms sebule jiko na public toilet
Umbali KM 3. Usafiri dala dala zipo
600 AU BAJAJI 1000
Ndani ya fence parking IPO inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
SIMU 0659336751 WSP 0786085637