2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI MPYA ZA KISASA ZINAPANGISHWA BEI NI 280,000X4X5X6
💫💫 APARTMENT HII IPO MBEZI MWICHO BALABALA YAMPIGI MAGOE KITUO MACHIMBO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI BARABARA IKOPOWA KABISA NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 3,5 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 4 UPO KWENYE NYUMBA
🌟 APARTMENT HIZI ZINA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#ZIPO APARTMENT 3 TUU
BEI NI 280,000X4X5X6
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA NDUGU MTEJA HINYUMBA IPOTAYALI KWAKUHAMIA FENSI WANAAZA KUJENGA WIKIHI NIUHAKIKA 🏃🏃
SIMU 0659336751 WSP 0786085637