2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI SANA YA KISASA INAPANGISHWA MBEZI MAGARI SABA/ CHUO CHA ST JOSEPH
UMBALI KUTOKA STAND DAKIKA 10 TU KWA MIGUU[ GARI YEYOTE INAFIKA MPAKA MLANGONI]
#NYUMBA_MPYAA
SIFA ZAKE:
VYUMBA 2 VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SEBULE
PUBLIC TOILET NDANI
JIKO ZURI
A/C [ AIR CONDITION]
PARKING SPACE
UWANJANI PAVING BLOCKS
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
KODI 350,000 ร 5,6
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300