2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 547,258

APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA BEI NI 450,000/= X 6

APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO

#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
#ZIPO APARTMENT 3 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#GARDEN
#ULINZI UPO MASAA 24

BEI NI 450,000/= X 6

APARTMENT HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 TUU

USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNAPIGA TEKE MLANGO

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15

NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

What saapp number 0689-547258

DALALI WA NYUMBA ZA KUPANGA UBUNGO_KIBAMBA
dalali_wanyumba_zabeilahisi_tz
DALALI WA NYUMBA ZA KUPANGA UBUNGO_KIBAMBA

Similar items by location

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6 🌟APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO #VYUM...

Sh. 387,747

#APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA #BEI NI 350,000/= X 3 BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI SHILING...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

(300,000 × 6) #MPYAA MBEZI KWA MSUGURIAPARTMENT NZURI MPYA YA KISASA INAPANGISHWA MBEZI KWA MSUGURIK...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6 🌟APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO #VYUM...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 180,000

APARTMENT NZURI SANA NA BEI MSELELEKO KABISA INAPANGISHWA BEI NI 180,000/= X 6 MAFUNDI WAPO KAZINI W...

House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

#APARTMENT FOR RENT AT MBEZI MWISHO NYUMA YA STAND YA MABASI YA MAGUFULI#CHUMBA CHA KULALA#SEBULE#JI...

3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 900,000

#APARTMENT FOR  RENT 🏡PRICE : 900K Per MonthLOCATION: MBEZI BEACH ( DOWNSIDE )📌Ipo na Space KUBWA ...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 350,000/= X 3 BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI SHILINGI ...

House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 1,600,000,000

HOUSE FOR SALE / NYUMBA INAUZWA LOCATION : MBEZI BEACHCITY : DAR ES SALAAM SQUARE METERS : 1000...PR...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 300,000

#REPOST DALALIMBEZIBEACH_SEMBA NYUMBA INAPANGISHWA APARTMENTCHUMBA KIMOJA SELF CONTAINED NA JIKO LAK...

3 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 35,000,000

NYUMBA NZURI INAUZWA KWA MNADA WA BANK AU BINAFSI IPO MBEZI YA KIMARA KWEMBE MPAKANI, DAR-ES-SALAAM-...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT NZURI MPYA YA KISASA INAPANGISHWA MBEZI KWA MSUGURIKODI 300,000 × 6INA VYUMBA VIWILI VYA K...

House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 180,000

APARTMENTI NZURI SANAA ZIKO NDANI YA FENSI MOJA WAPOIPO WAZI INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI YANAFLOW ND...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6 🌟APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO #VYUM...

House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

#APARTMENT FOR RENT AT MBEZI MWISHO NYUMA YA STAND YA MABASI YA MAGUFULI#CHUMBA CHA KULALA#SEBULE#JI...

House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

#APARTMENT FOR RENT AT MBEZI MWISHO NYUMA YA STAND YA MABASI YA MAGUFULI#CHUMBA CHA KULALA#SEBULE#JI...

House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

#APARTMENT FOR RENT AT MBEZI MWISHO NYUMA YA STAND YA MABASI YA MAGUFULI#CHUMBA CHA KULALA#SEBULE#JI...

House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

#APARTMENT FOR RENT AT MBEZI MWISHO NYUMA YA STAND YA MABASI YA MAGUFULI#CHUMBA CHA KULALA#SEBULE#JI...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

APARTMENT CLASSIC FOR RENT Location: MBEZI MWISHO NYUMA YA STAND YA MABASI YA MAGUFULI✔️SEBULE KUBWA...