2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 450,000

APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA BEI NI 450,000/= X 6

💥ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 30/06/2025 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO

🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO

#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
#ZIPO APARTMENT 3 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#GARDEN
#ULINZI UPO MASAA 24

BEI NI 450,000/= X 6

💫💫 APARTMENT HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 TUU USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNAPIGA TEKE MLANGO

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

0715949085

Dalali Salim Kimara
dalali_salim_kimara_ubungo
Dalali Salim Kimara

Similar items by location

1 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT ZINA PANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI KM1 KUTOKA LAMI ------Vyumba vya kulala kimoja master bed...

3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

NYUMBA KALI YA KISASA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STEND ALONE MBEZI MWISHO DK6...

3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 1,700,000

Apartment mpya inapangishwa mbezi beach masana hospital Bei milioni 1.7 vyumba vitatu vyakulala sebu...

3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

$ 650 per month

#VYUMBA_VITATUAPARTMENT INAPANGISHWA IKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI-MBEZI BEACH ______________KODI USD $...

House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

Stand alone house for sale Mbezi beach, Price $600k0752734327

3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 1,700,000

House for rent Nyumba kali sana Mahali: Mbezi beach massana Bei: 1,700,000 Kwa MweziMalipo: Miezi 6☑...

Plots for sale at Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 10,000,000

CALL 0692308533VIWANJA VINAUZWA MBEZI MSUMI A DAR ES SALAAM 🇹🇿 BEI: MILLION 10UKUBWA: MITA 17 KWA ...

3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APATMENT MPYA KABISA UNAZINDUA MWENYEWEKODI 500,000X6LOCATION: MBEZI MWISHOUMBALI DAKIKA 15 KWA MGUU...

House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 80,000

KODI 80,000 K X6 APATIMENTI ZIPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNATOKA MUJINIKUTOKA BARA...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

BEI NI 350,000/= X 3,4...APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 350,000/= X 3,4...NAKUENDELEA...

3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APATMENT MPYA KABISA UNAZINDUA MWENYEWEKODI 500,000X6LOCATION: MBEZI MWISHOUMBALI DAKIKA 15 KWA MGUU...

House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 80,000

KODI 80,000 K X6 APATIMENTI ZIPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNATOKA MUJINIKUTOKA BARA...

3 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 45,000,000

NYUMBA INAUZWA IPO MBEZI MARAMBA BEI MILIONI : 45maongezi yapo___________________ Inavyumba v...

House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

APARTMENT MPYAA KUBWA SANA INAPANGISHWA KODI 200,000X6 CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO LA OPEN KITCHEN ...

House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

APARTMENT MPYAA KUBWA SANA INAPANGISHWA KODI 200,000X6 CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO LA OPEN KITCHEN ...

House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

APARTMENT MPYAA KUBWA SANA INAPANGISHWA KODI 200,000X6 CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO LA OPEN KITCHEN ...

3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APATMENT MPYA KABISA UNAZINDUA MWENYEWEKODI 500,000X6LOCATION: MBEZI MWISHOUMBALI DAKIKA 15 KWA MGUU...

House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 80,000

KODI 80,000 K X6 APATIMENTI ZIPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNATOKA MUJINIKUTOKA BARA...

House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

_STAND ALONE YA KIFAMILIA INAPANGISHWA MBEZI KWAMSUGURI_________________MKOA __DAR ES SALAAMWILAYA__...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

BEI NI 350,000/= X 3,4... MBEZI MWISHO (MBEZI INN)➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA ...