2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA MBEZI NYUMA YA MAGUFULI STAND #350k
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet
Kodi 350,000 × 4
Zipo apartment 3 kila apartment Inajitegemea umeme na maji
Ndani ya fence parking IPO
Umbali km 1 kutoka magufuri stand, usafiri boda boda 1000
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
=====
Cont
0683234124
0718367179