2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Pugu, Dar Es Salaam







NYUMBA INAPANGISHWA, NI APARTMENT
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA (KIMOJA MASTER) | SEBULE | JIKO ZURI | PAVING NJE KOTE | TENKI LA MAJI.
MAJI NA UMEME MITA INAJITEGEMEA.
LOCATION: PUGU, KITUO PUGU KONA.
KODI: 250000 KWA MWEZI.. MALIPO KWANZIA MIEZI MITATU.
MALIPO YA DALALI 250000, SERVICE CHARGE 10000 KAMA NYUMBA HAILIPIWI HAPO HAPO.



















