2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Tabata, Dar Es Salaam







Apartment house for Rent za Kisasa nzuri Mpyaa haija Kaliwa zipo 2 A na B
Location Tabata Kisukuru Maji Chumvi External Road Usafiri ni Bajaji na Boda Ukishuka Dakika 3 Kutembea
(A) Kodi 350000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa zake
==========
Room 2 za Kulala hakuna Master Bedroom
Sitting room
Jiko
Luku yake
Maji Dawasa ndani
Parking space fancy
Pavin Block
Slide window
Tiles
Gypsum
Good environment
(B) Kodi 250000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa zake
=========
Chumba na Sebule
Jiko
Choo ndani
Luku yake
Maji Dawasa ndani
Parking space fancy
Pavin Block
Slide window
Tiles
Gypsum
Good environment
Piga sim Kwa Maelezo zaidi
0712500602
0755336565



















