2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam


0679 997610 
#OFA #OFA #OFA WAI MAPEMA NIMELISHUSHA MIEZI TU KWA SASA NI 400X3 TU
==================
#INAKUA WAZI TAR 02/10/2025 
.
KODI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI MITATU (3)
.
NI APARTMENT NZURI MPYA KABISAA INAPANGISHWA 
.
IPO UBUNGO MAKOKA KUTOKEA KIMARA KOROGWE KITUO CHA MWENDOKAS AU KUTOKEA UBUNGO RIVA SIDE KOTE UNAFIKA NYUMBAN 
.
SIFA ZAKE 
=========
VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA DAINING JIKO ZURI KUBWA LENYE MAKABATI YA KISASA NA PUBLIC TOILET NZUR KWA FAMILIA YAKO 
.
APARTMENT INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAKE DAWASA YANAFLOW NDAN 
.
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYEWE APO 
.
HII APARTMENT AINA PARKING YA GARI NDG MTEJA WANGU 
.
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA 
MAWASILIANO 
WSP 
0679 997610 
0747997630
Msigwa




















