Plot for sale at Bunju, Dar Es Salaam


KIWANJA KINAUZWA _____14/05/2025.
Kipo bunju B kinondoni dsm tz.
Bei 32,500,000 maongezi yapo usiogope bei boss wetu
njoo mezani tuongee.
Ukubwa ni sqm 878.
Nyalaka ni wizara ya ardhi.
Matumizi ni makazi.
Umbali kutoka barabara ya bagamoyo ni km 5 tu.
Umeme na maji vipo.
Gharama ya ukaguzi itahitajika kutoka kwako boss wetu.
Siku za ukaguzi ni kila siku.
Piga simu O745010009