Plot for sale at Bunju, Dar Es Salaam


*NYUMBA NZURI YA KISASA INAUZWA BINAFSI*
LOCATION: BUNJU A, UMBALI TOKA BAGAMOYO ROAD MITA 200 TU
BEI TSH MILION 200 MAONGEZI YAPO
UKUBWA WA KIWANJA SQM 900
PAMEPIMWA (Urasimishaji) HATI BADO
NYUMBA KUBWA VYUMBA V3 VYA KULALA VYUMBA 2 SELF
SEBULE KUBWA
DINNING
JIKO
CHOO PUBLIC
FENCED AND GATE
MAJI YAPO DAWASCO
UMEME UPO
PIA KUNA NYUMBA NYINGINE YA GHOROFA YENYE CHUMBA MASTER NA SEBLE JUU NA CHINI KUNA CHUMBA SEBLE,CHOO PUBLIC NA JIKO LA NJE
SERVICE CHARGE ELF 30
TUWASILIANE
#0714335450