Plot for sale at Bunju, Dar Es Salaam


Nyumba inauzwa. (Fully furnished)
Location: Bunju mianzini
Ina vyumba vitatu, viwili master.
Ukubwa: Sqm 500
Umbali kutoka lami mita 300
Bei milioni 200, maongezi.
Kiwanja kimepimwa, hati bado.
Nyumba inamaliziwa kila kitu, unakabidhiwa ikiwa safi kabisa.