Plot for sale at Chamwino, Dodoma


ENEO LINAUZWA CHAMWINO IKULU DODOMA.
👉Ni Kijiji Cha msanga, 7km kutoka stendi ya chamwino ikulu.
👉1km kutoka msanga Sekondari. Lipo jirani na ukuta wa ikulu.
👉Lina ukubwa wa nusu ekari (hatua 70 kwa 35) Hakujapimwa.
👉Huduma za maji na umeme zipo jirani mno.
👉Bei ni milioni 2.8 tu
☎️07672312302