Plot for sale at Goba, Dar Es Salaam


#Nyumba inauzwa ipo goba kwa Awadhi. Zipo mbili kwenye Fensi.Nyumba kubwa ina nyumba 5 n.k, nyumba ya nyuma ina nyumba 2 toilet bafu. Kuna camera, kisima cha maji, swimming pool, umeme wa Fensi, garden safi n.k. Kiwanja kina hati miliki kina Square mt 1500 imekamilika finishing safi.
Bei inaanzia 650 milion...
Call 0716246322 whatssap&call...