Plot for sale at Goba, Dar Es Salaam


*APARTMENTS 3 zinauzwa Milioni 65 maongezi yapo📍Zipo Goba centar* Dar es salaam - Tanzania
*Distance* Kutoka main road ni Meter 600
â—‡Kila Apartment ina chumba master sitting room na jiko
â—‡Maji na umeme kila mpangaji anajitegemea
â—‡Apartment zipo ndani ya fensi kila Mpangaji analipa Kodi laki (250,000) kwa mwezi
â—‡Makusanyo ya kodi kwa mwezi kwa wapangaji wote ni laki (750,000) Kwa mwaka mzima ni milioni (9000,000)
â—‡Apartments zote 3 zimejaa wapangaji
â—‡Plot size Sqmt 400
â—‡Document Sales agreement (Hati ya mauziano ya selikali za mitaa kiwanja kimepimwa Hati miliki itatoka kwa Jina la mteja atakae nunua)
*Bei shilingi milioni 65 maongezi yapo*
0788156493
0614130017
0760053111